Sunday, March 29, 2009

Kupiga Punyeto. Kuna madhara

Kupiga Punyeto. Kuna madhara?


"Mimi ni kijana mwenye Umri wa Miaka 33 naishi nchi ya Tanzania, na rafiki yangu wa kike yupo Tanzania kwa muda wa miaka 2 sasa. Kwa muda wote nimekuwa nimeshinda sana nasitaki kuvunja uhusiano wangu na huyo rafiki yangu, sasa hivi karibuni baada ya kuona hali ngumu nikaamua kuanza kujichua au KupigaPunyeto, naomba ushauri wenu je tendo hili lina hathari gani baadae nitakapo kutanana na rafiki yangu. Natanguliza shukrani zangu kwa majibu mtakayo nipa"


Kupiga Nyeto kwa Wanawake

Punyeto

Related Posts by Categories



1 comment:

fatma said...

Kupiga Punyeto kuna madhara kwani mimi mwenyewe ishanitokea nlikua napiga Punyeto kama dozi kw cku. Ilifikia wakati uume wangu ukapungua nguvu kwa mda. Nlishtushwa sana nkaenda kupata ushauri wa dokta. Docta aliniambia kuendlea kupiga Punyeto itaniletea madhara baadae kma kutokuja kufurahia tendo la ndoa mm na mpenzi wangu. Hamu yakufanya mapenzi itapungua halafu naweza kutochkua mda mrefu kufanya mapenzi shahawa zangu kutoka kwa haraka (Premature ejaculation)

2) Ata perfomance kiusomaji itashuka kwani kuendelea kupiga Punyeto kunaharibu mtu kisaikolojia.

3) Maradhi ni rahisi kukupta kma kansa ya korodani (prostate cancer) kwani unakua unaingiza idadi kubwa ya vitu visivo hitajika ktk uume (carcinogens).

Hivyo ni bora umueleweshe mpenzi wko ili kufurahia zaidi uhusiano wenu kuliko kujiua mwnyewe kwani inamadhara makubwa hasa kwa baadae kwani unapokua mzee misuli yako haitoweza kukazana hivyo unaweza kupenywa na vinyesi. Acha haraka mchezo huo ndgu yangu.

Aliminism- ZNZ
mandhryali@yahoo.com

Post a Comment