Masikio na ufanyaji wa ngono/mapenzi
Inasemekana unapopoteza fahamu ni masikio pekee huwa nauwezo wa kutambua sauti tofauti hasa za wale uliokuwa ukiwapenda au bado unawapenda na ndio maana mtu anapokwenda “Coma” a.k.a kupoteza fahamu mara nyingi mpenzi au mtu ambae watu wengine wanajua unampenda hutumiwa kuzungumza/kuongea na wewe ili kusaidia fahamu zirudi…..
Vilevile masikio ya kwanza kujitokeza/kuibuka/chomoza au kwa kizungu develop ndani ya siku saba baada ya mimba kutungika (kama mimba imeingia leo basi in 7 day tokea leo masikio ya mtoto yanaanza kuchomoza) na baada ya miezi mine na nusu sikio linakuwa limekamilika.
Na kwa wale wapenzi wanaopenda kutoa mimba bila sababu (sikutishi ila ni ukweli ) basi mjue wazi kuwa mnapojadili kufanya hivyo kiumbe huwa anasikia….inatisha eti eeh!
Kama ilivyo macho sikio hukuwezesha wewe kupata ujumbe kutoka kwa mpenzi wako au mtu yeyote, ukijua kutumia masikio yako vema na kusoma mapigo yake ya moyo, tofauti ya sauti zake tunaita “tune” na pumzi yake basi unaweza kutambua anapokudanganya, akiwa amechoka, hataki/anakuta, hakupendi/anakupenda, anaficha kitu, amefanya kosa na linamsumbua akilini, “kanyegeka” au bado, amefika kileleni au anazuga n.k.
Ngono ni sanaa
Thursday, March 26, 2009
Masikio na ufanyaji wa ngono
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment