Thursday, March 26, 2009

Pua na kungonoana

Pua na kungonoana!


Pua ni kiungo au sehemu ya mwili yenye umuhimu wa pekee nakama ilivyo kwa sehemu nyingine zilizopo kweye kichwa (nywele, macho, masikio na mdomo) pia hutoa ujumbe japokuwa ujumbe huo ni “invisible”…..nikiwa na maana kupumua, kupumua huko pamoja na kuwa hakuonekani lakini ni halisi na hutuma ujumbe kuliko maneno yatokayo kinywani.


Kupumua ni uhai, kupumua kunakuwezesha wewe kutambua na kutofautisha harufu mbali mbali (jumbe mmoja wapo huo) vilevile kupumua kunakuwezesha kutambua ikiwa mwenza wako kachoka, kanyegeka, anaogopa(danganya), ananyege, anaumwa, anasikia raha utamu n.k.

Ukijifunza au kama unajua ku-control upumuaji wako kwa kutumia pua husaidia ku-concetrate wakati unafanya jambo Fulani, vilevile upuaji wa kutumia pua zaidi kuliko mdomo hukusaidia kuwa na afya njema na mapafu imara kwani pua hupitisha Oxygane ya kutosha.

Mwanamke

Kubana pumzi mara kwa mara wakati unafanya mapenzi/ngono inakusaidia kuita au kufika haraka kileleni hali itakayo kufanya upate mabao zaidi ya mawili ktk kila mzunguuko.

Mwanaume

Kubana pumzi mara kadhaa wakati unafanya mpenzi/ngono hukuchelewesha kumwaga haraka na hivyo kwenda mwendo mrefu na kumfurahisha mpenzi wako mwanamke ambae kwa kawaida huchelewa kufika kileleni.

Jinsi ya kutumia pua wakati wa mambo Fulani…

Kama ilivyo masikio na macho inyonye, ilambe, ichezee kwa mahaba (sio uinyonye kwa muda mrefu kama wala denda…utavuta ubongo hahahaha), Sasa wakati mpenzi wako (wa kiume) anakaribia basi wewe mpe busu (denda) kisha hamia puani na jaribu kuipana pua yake ili asipumue kisha hamia mdomoni ambako ndio atakuwa akipumulia….endelea kufanya hivyo na utampatia raha ya aina yake na vilevile atachelewa kumaliza hali itakayowasababishia nyote wawili kufurahia “the game”.


Mdomo unawakilisha ujumbe na wengi tumeshuhudia kama sio wa maneno basi midomo itakavyopindwa, funguliwa, tabasamu n.k.
Asante kwa ushirikiano.

Ngono ni sanaa

Related Posts by Categories



No comments:

Post a Comment