Kungonoka wakati wa Hedhi
Kwa baadhi ya wanawake wakati unakaribia kupata siku zako, uko hedhini au umemaliza nyege huwa nyingi sana na za ajabu hivyo inakuwa ngumu kupitisha wiki nzima bila "huduma" na hivyo hulazimika kufanya mapenzi wakiwa hedhini.
Natambua kuna watu wanaamini kuwa damu ya mwezi ni uchafu na vilevile kutokana na imani za dini.
Kwanza unatakiwa kuondoa imani kuwa Damu ya hedhi ni uchafu kwa vile sio uchafu, ni kweli huwa na harufu mbaya ikiwa hutobadilisha "nepi" yako kwa zaidi ya masaa 6. Unashauriwa kubadili kila baada ya masaa matatu na hakikisha unajiswafisha at least mara tatu kwa siku (nina maana kuoga na kuondoa mabaki ya damu kule ukeni)
Kwa vile ktk kipindi hiki nyege huwa kwa wingi basi hata utamu wa kufanya mapenzi huwa zaidi na vilevile unakuwa "huru" kutopata mimba ikiwa tu tarehe zako hazina mizengwe(hazibadiliki) vinginevyo usithubutu kwani wakati mwingine hedhi ikianza inakuwa sio hedhi bali mshituko/stress na hedhi inaweza kuanza kesho yake au siku 3 zijazo hivyo unatakiwa kuwa na uhakika kuwa damu yako ni hedhi (zingatia tarehe na epuka kujipa "stress" zisizokuwa za lazima).
Ngono ktk kipindi hiki hufanywa kama kawaida ila tofauti ni kuwa unapaswa kujiswafi na kuhakikisha mabaki yote ya damu ukeni hayapo (mpaka utakapoona kidole kinatoka kisafi bila tone la damu), pale kitandani weka taulo au kitenge/khanga iliyokunjwa ili kutochafua shuka kisha jiachie na fanya mapenzi.
Mkao mzuri wa kufanya wakati wa hedhi ni "spoony"(lala ubavu mwanaume anakuwa nyuma yako), kifo cha mende....ila ukiwa chini usipanue sana miguu na wala usiikunje kama V.
Ikiwa unasumbuliwa na matatizo ya tumbo la hedhi basi kufanya mapenzi wakati wa siku zako hupunguza maumivu hayo.
Baadhi ya wanaume hufurahia kufanya mapenzi wakati wake/wapenzi wao wako hedhini wakidai kuwasogeza karibu zaidi kutokana na "nature".
Sunday, September 27, 2009
Kungonoka wakati wa Hedhi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment