Sunday, September 27, 2009

Mapenzi Salama

Mapenzi Salama
http://sirizangu.blogspot.com/2009/03/mapenzi-salama.html


-Kondom ivaliwe haraka sana baada ya kuvua nguo ya ndani, haijalishi kama utafanya ngono au la!. Pia hakikisha huingizi ulimi wako ndani sana ya mdomo wake na hakikisha hupati kabisa mate kutoka kinywani kwake……tafuta njia mbadala ya kuibua nyege zake kuliko kubusu kwa mate.

-"Withdrawal" (kukojolea nje) baadhi ya watu wanaamini kuwa kufanya hivyo huepusha mimba zisizotarajiwa na maambukizo ya Ukimwi(wakidhani kuwa ni manii pekee ndio hubeba virusi), lakini ifahamike kuwa jinsi tendo linavyoendelea kabla (mwanaume) kufikia kileleni na "kuwithdrawal"ndivyo Manii yanavyobaki ndani ya Uke na kujikuta umeambukizwa bila wewe kujijua.

-kamwe usikubari kufanya ngono bila kinga (skinny dipping) hata kidogo, wakati wote angalia kuwa Kondom inayotumika haina mipasuko n.k.

-"Going Down" wataalam wa magojwa ya zinaa wanakili kuwa mtindo huu wa kutumia mdomo si hatari sana ikiwa tu, hakutakuwa na michubuko nje/ndani ya mdomo, matatizo ya koo, kuvuja damu kwa fidhi n.k.

-Kamwe usijaribu kufanya hivi wakati ukijua kwa unamatatizo ya fidhi, koo, ulimi n.k, lakini ni vyema ikafahamika kuwa ni vigumu sana kugundua kuwa unamichubuko kwenye mdomo, ulimi na hasa koo.

Related Posts by Categories



No comments:

Post a Comment