Saturday, December 24, 2011

Jinsi ya Kupata Mapenzi Uyatakayo Katika Ndoa Yako

Jinsi ya Kupata Mapenzi Uyatakayo Katika Ndoa Yako

Kila ndoa ina matatizo, na yanaweza kufumuka wakati wowote. La muhimu ni kwamba unapokuwa umeamua kujiingiza katika maisha ya ndoa unapaswa kujifunza jinsi ya kukabiliana na matatizo hayo ili yaweze kuisha salama na ndoa kuendelea kuwa salama.

Bila kujali umeenda umbali gani katika barabara hii ya ndoa, zipo kanuni rahisi lakini za muhimu za usalama katika barabara hii. Si rahisi sana kuzitekeleza kanuni hizi, kwa wanandoa walio wengi, lakini ni lazima kuzitekeleza iwapo wahusika wanapenda ndoa yao iwe salama.

Iwapo utazingatia kanuni hizi, utaifanya ndoa yako kuwa imara zaidi. Katika usalama huu utapata pia marupurupu – furaha, ngono, kuaminiana (kuaminiwa), mapenzi moto moto na kadhalika. Hebu sasa na tuziangalie kanuni zenyewe: -Endelea Kusoma

Related Posts by Categories



No comments:

Post a Comment